Jardan

Historia & Maisha ya Yeshua Kristo [Swahili] by Silwimba, Shannel S

Description: Kitabu hiki MNNNMA ni kiberiti kinacho washa moto wa mabadaliko makubwa, na kama siyo mapinduzi ndani ya kanisa lote linalo zungumza Kiswahili. Katika hiki tunaona mtizamo mpya wa theolojia, changamoto katika tafsiri za biblia ndani ya lugha ya Kiswahili, na jipya zaidi ni uhamisho wa waumini toka udini kuelekea mahusiano na Mungu YHWH. Kitabu kinachukulia biblia yote kuwa fumbo la picha, na hivyo kutumia mstari wa wakati uendao mbele katika mduara, kuonyesha mwanzo hadi mwisho wa kila kitu. Na kama hili halitoshi, kinaweka dai tatanishi kwamba, biblia yote iliandikwa kwa ajili ya ukombozi wa Adonai Yeshua Kristo, na kwamba yote humo pamoja na maisha yako yote, ni kwa ajili ya Mungu YHWH kuwa na familia yake tu. Kitabu kinacho dai tete la kuifunua kweli iliyo moja na ya pekee mahali pote, wakati wote, na kwa vizazi vyote. Na katika kunogesha uelewa; kinapinga mafundisho yaliyo zoeleka kwamba, mtu ataishi Mbinguni na Mungu milele, kwa kudai maandiko yote yanasema, ni Mungu YHWH anaye hamia katika Dunia mpya ndani ya Yerushalem Mpya kuishi humo milele na watoto wake watakatifu. Kitabu kinajikita katika malumbano ya kidini na sayansi, na kuitumia teknolojia ya sasa kuelezea dhana nyingi za kiimani. Na kwa kila funzo la kinadharia unalo pewa, pia huonyeshwa jinsi ya kutenda hilo uhesabiwe mstahiki wa ahadi hiyo ya Mungu. Na katika ujasiri mkuu kinaweka dai ya kuwa, hicho ni ujumbe halisi wa Mungu YHWH kwa kanisa lake tukufu linalo zungumza Kiswahili. Ni kitabu ambacho kila anayefunza dini hawezi kukikosa, na kwa kila mtu anaye taka kujua kweli ya mambo ya kiungu, hiki ni kitabu muhimu zaidi sokoni kwa sasa. Tunakiona kutawala malumbano katika kumbi za mihadhara, mimbari za masinagogi, na hata madarasani kufunzwapo dini. Ni kitabu ambacho kitafungua jicho la kila muumini, kwani katika lugha ya Kiswahili hakipo kinacho zama katika kina chake hiki. Kwa kweli uhamsho wa kanisa linalo zungumza Kiswahili sasa umefika wakati wake!

Price: 34.92 AUD

Location: Hillsdale, NSW

End Time: 2024-11-24T13:39:15.000Z

Shipping Cost: 30.78 AUD

Product Images

Historia & Maisha ya Yeshua Kristo [Swahili] by Silwimba, Shannel SHistoria & Maisha ya Yeshua Kristo [Swahili] by Silwimba, Shannel S

Item Specifics

Return shipping will be paid by: Buyer

Returns Accepted: Returns Accepted

Item must be returned within: 60 Days

Return policy details:

EAN: 9798215991206

UPC: 9798215991206

ISBN: 9798215991206

MPN: N/A

Format: Paperback, 148 pages

Author: Silwimba, Shannel S

Book Title: Historia & Maisha ya Yeshua Kristo [Swahili] by Si

Item Height: 0.8 cm

Item Length: 21.6 cm

Item Weight: 0.2 kg

Item Width: 14 cm

Language: Swa

Publisher: Shannel Steven Silwimba

Recommended

Historia De La Iglesia Cristiana
Historia De La Iglesia Cristiana

$14.28

View Details
La Historia Interminable (Edici�n Ilustrada) / Never-Ending Story (Illustrated E
La Historia Interminable (Edici�n Ilustrada) / Never-Ending Story (Illustrated E

$21.60

View Details
PARA LEER LA HISTORIA DE LA IGLESIA - Jean Comby - 2012 - Spanish Catholic
PARA LEER LA HISTORIA DE LA IGLESIA - Jean Comby - 2012 - Spanish Catholic

$20.00

View Details
Historia del Cristianismo: Obra Completa          (History of Christianity: The
Historia del Cristianismo: Obra Completa (History of Christianity: The

$36.29

View Details
Historia De La Literatura Espanola, Hurtado Y Palencia, 1921, X-library, Fair
Historia De La Literatura Espanola, Hurtado Y Palencia, 1921, X-library, Fair

$30.00

View Details
Cuentame una historia- Tomo Cinco - Hardcover By Arturo Maxwell - VERY GOOD
Cuentame una historia- Tomo Cinco - Hardcover By Arturo Maxwell - VERY GOOD

$7.23

View Details
HISTORIA DE LA FAMILIA: ANDRE BURGUIERE, KLAPISCH-ZUBER, ET.AL. 1988 2 VOLS HCDJ
HISTORIA DE LA FAMILIA: ANDRE BURGUIERE, KLAPISCH-ZUBER, ET.AL. 1988 2 VOLS HCDJ

$169.15

View Details
La Biblia de la Santa Muerte Historia, Altares, Rituales y Oraciones Holy death
La Biblia de la Santa Muerte Historia, Altares, Rituales y Oraciones Holy death

$11.99

View Details
El Pensamiento de Socrates by A. T. Taylor (Spanish) Paperback Historia Libro
El Pensamiento de Socrates by A. T. Taylor (Spanish) Paperback Historia Libro

$16.97

View Details
De Historia et Veritate Unicornis History &Truth of Unicorn 1983 Michael Green
De Historia et Veritate Unicornis History &Truth of Unicorn 1983 Michael Green

$11.85

View Details